No real love nowadays

No real love nowadays

tupe population, sample space na vigezo vya selection ya sample yako katika huo utafiti wako
 
Maswali yako hayana tofauti na avata yako.......utasubiri sana mkuu
 
Siku hizi hakuna true love wanaume wanapima upendo kwa papuchi,

Ukipenda kula Lazima Uliwe
 
kwa utafiti mdogo nimefanya siku hizi hakuna mapenzi ya dhati katika mahusiano hasa kwa waliopo chuoni.

Many are cash oriented and support whatever may be needed, usidanganyike na promises za marriage only 3 out of seven manage that.
siku hizi kula kuliwa ndo mchezo wa mjini...toa upewe,mapenzi ya dhat hata ndege hawana siku hizi.real love iliisha 1970
 
Back
Top Bottom