No real love nowadays

No real love nowadays

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
Kwa utafiti mdogo nimefanya siku hizi hakuna mapenzi ya dhati katika mahusiano hasa kwa waliopo chuoni.

Many are cash oriented and support whatever may be needed, usidanganyike na promises za marriage only 3 out of seven manage that.
 
Bado wapo wachache bana...japo kweli sasa hivi vijana wanaogopa maisha sana
 
Yaani utafiti wa mapenzi waufanyia vyuoni halafu majibu yako yajumuisha mahusiano kwa ujumla...
 
we jifanye wajua kupenda kama presha haitokuua!!!
 
Mapenzi yalikuwa enzi za mwalimu sasa pesa mbele kama tai plus kugegeda uuuuyps
 
Hahhhahhhahhha kwa tusipende tutachali na presha lol!!!!
...teh. Saivi Ni vitu viwili vinamata; Pesa ni namba moja, Size ya mgegedo + performance baaasi, mengine Si kitu kwa kizazi cha JK.
 
Kwa utafiti mdogo nimefanya cku hizi hakuna mapenzi ya dhati ktk mahusiano hasa kwa waliopo chuoni. Many are cash oriented and support whatever may be needed, usidanganyike na promises za marriage only 3 out of seven manage that.

Yamekukuta majanga ee! Pole
 
Inategemea ntu na ntu bana wapo wenye real love hawana ata shida na pesa yako
 
Kwa utafiti mdogo nimefanya cku hizi hakuna mapenzi ya dhati ktk mahusiano hasa kwa waliopo chuoni. Many are cash oriented and support whatever may be needed, usidanganyike na promises za marriage only 3 out of seven manage that.

Na tunakoelekea sasa ni kama nchi zilizoendelea!! Especially US, kila unayemuuliza historia yake atakwambia amelelewa na mzazi mmoja baada ya wazazi wake kuachana (napo ukichunguza utangundua kuwa si kweli kwamba hao wazazi waliishi pamoja bali walikuwa wapenzi tu then mimba jamaa likajikataa) huyo afadhali atamjua baba lakini hakulelewa ila wengine ndio hawawajui kabisa baba zao!! Ni hatari tupu
 
Na kuongezeka kwa H.I.V nako kunazidi. People do not care about AIDS. umekuwa ni ugonjwa wa kawaida.
 
Daaahh hi dunia is becomeing more dangerous, Je wapenzi wanaopatikana makanisani na misikitini wanaweza kuwa na upendo wa dhati?? Michango yenu wanadau is more interesting and funny..... imekumbusha mbali ......eti mapenzi mwisho chalinze au mikumi... kwenye city only CASH operate hahahahaaa.... Lakini mwisho wa siku michepuo noma.....
 
Hata mikoani hili tatizo linakaribia kuwa janga la kitaifa

mkuu mkoani kiasi wanawake wanasikia endapo mwanaume utakuwa una critical thinking... kule kuna kauoga fulani hivi.!

you can imagine, dar mtoto wa miaka 15 ana behave kama 25 hivi..

. majibu yake

. miondoko yake

. maongezi na watu wengine

. wearing styles wakati mwingine inatisha...

na mengine mengi..!

mikoani mwetu huku mambo hayajawa extreme kiasi hicho!
 
Back
Top Bottom