Ona hovyo huyu[emoji83]Kwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? Na una maanisha ni afadhari angefanikisha Lowasa aingie madarakani kwasababu asingeisoma namba Na angeendelea kuuza Na kutumia ngada??
Huu upinzani ni hovyo kabisa!!
Ufalme ukifitinika hauna budi kuanguka.Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.
Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.
Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.
Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
yap Nick Carter umenikumbusha mbali.nimesahau kitabu ila jamaa mzuri story za upelelezi kuna quotation nilirukuu npaka leo inasema'only foolish are too sure with what they are doing but wise men are always in doubt' ulivyotaja CHASE nimeconclude kwanini upo smart kwenye mijadala yako.hongera Mshanar jrSidney Sheldon na Nick Carter
M...kigoda wenu ana....taThegame unataka kutwambia walikuwa hawajui kama ni dealer wakati huo? Kule ni chaka mpk viongozi wao pia ni dealers
Katika hili LA Mihadarati kama watanzania, bila kujali itikadi zetu kwa pamoja tuungane.Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.
Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.
Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.
Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.

mkuu soma uelewe! ukikurupuka hivyo kuwahi kuku wa ufipa kinondoni hutaeleweka.Hata ulichoandika hakina maana. Tunajua kila kitu kwa upinzani wetu ni kubaya. Tunatete wezi hata wauza unga kwa sasa.
Ni aibu kwa maendeleo yetu na ya taifa.
Huwezi andika kuwa wakosaji wawe wa upande mmoja tu. Wote tufuate sheria na tutakuwa huru.
[emoji115] [emoji817] [emoji817] [emoji120] msome Nick kwenye Slave Mind acha kabisa ile manenoyap Nick Carter umenikumbusha mbali.nimesahau kitabu ila jamaa mzuri story za upelelezi kuna quotation nilirukuu npaka leo inasema'only foolish are too sure with what they are doing but wise men are always in doubt' ulivyotaja CHASE nimeconclude kwanini upo smart kwenye mijadala yako.hongera Mshanar jr
Kipindi kile sio kipindi hichi unajuaje labda kwenye hii biashara alikuwa pamoja na baadhi ya wanene pamoja na familia zao?Thegame unataka kutwambia walikuwa hawajui kama ni dealer wakati huo? Kule ni chaka mpk viongozi wao pia ni dealers
In Tanzania??But very selective
Mkuu ujenzi wa mnara wa babeli ama![emoji12]......
......lete nyundo unaleta karai lete mawe unaleta maji...Mshukuruni Mungu kwa kila.jambo
Walionielewa wame LIKE Hii post vyakutosha.ila wewe kwakuwa uliokotwa jalalani.ndio maana umeshindwa kuelewa hoja yangu.rudia comment zangu.utaelewa nilichomaanisha.ok imbecile?
Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.
Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.
Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.
Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
Mtoa hoja umeshindwa kutokuweka siasa kwenye hoja yako na ndio maana watu wanakupa majibu ya kisiasa pia.Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.
Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.
Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.
Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
mkuu soma uelewe! ukikurupuka hivyo kuwahi kuku wa ufipa kinondoni hutaeleweka.