multitalented123
Senior Member
- Nov 30, 2015
- 126
- 47
Habari za Leo wanajamvi
Katika maisha kuna vipindi mbalimbali ambavyo mtu anaweza kupitia
Ila kuna kipindi hiki ambacho ni "No option" hiki ni kipindi ambacho unavitu vingi sana kichwani ambavyo unataka kuamua lakini kuna mahali vinagoma siku, miezi miaka vinapita ni jambo ambalo linawakuta watu wengi sana
Lakini binafsi nahitaji tujadili pamoja kujua namna ambavyo tunaweza kuondoa hili tatizo na naamini kabisa tutasaidia vijana wengi sana wenye tatizo hili
1.mtu anaweza kumaliza chuo lakini amekaa nyumban capital ya kujiajiri hana, kazi hajapata huyu mtu anakutana na hali ya "No option" tujadili namna ya kuondoka kwenye hii hali ili afanye kitu kwa ajili ya mafanikio yake, na huenda anategemewa pia
2.mtu amemaliza form six hana ufaulu wa kuendelea na chuo kikuu, hela ya kuendelea na shule hana na anatamani kuendelea na shule
Na saa ingine anawaza kufanya biashara ili apate hela aende shule lakini anakutana na "No option" tujadili namna ya kumsaidia
3.Ambaye shule hajaenda may be kaishia 4m2, 4m3, 4m4 au darasa la saba kabisa na anakutana na " No option" na saa ingine ana "Idea ya biashara" ana "location au Market" lakini hana Capital tunafanyaje ili kumfanya afikie ndoto zake
Naamini jukwaa hili tukijadili hapa tutawasaidia wengi
nawaza kwa sauti & nawasilisha