Inauma sana huyu mtu wetu anavyochekea wezi na waharibifu wa uchumi na staha yetu! Tumebaki kuwa omba omba tu kwa sababu ya kuchekeana.
Kuna tofauti kubwa wa mifumo ya utawala na Rwanda. Ile ni nchi ya kidikteta , sisi tunafuata mfumo wa demokrasia(utawala wa sheria). Jk anaweza sana sana sheria ikiwabaini kuwa na kosa la kujibu.