No new Star Times Channels in Moshi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No new Star Times Channels in Moshi.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Officer2009, Aug 20, 2012.

 1. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Mbona Star Times wanatangaza channels mpya ila mi nimejaribu kufanya automatic search lakini wapi! No new channels. Nimejaribu kuzima na kuwasha na kufanya search bila mafanikio. Hizo channels mpya hazipatikani Moshi au ni receiver yangu ndo kimeo?
   
 2. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  hata huku mererani hazipo
   
 3. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Jamani, humu jamvini hamna mafundi wa star times wakatupa jibu? Nimejaribu kuwapigia star times lakini hawakupokea simu hadi hela(430) ikaisha.
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hiyo inakuwa wanafanya wao automatically so itakutaarifu au ukizima ukiwashainaingia..
   
 5. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  ndetichia, kwa hiyo ndo kusema kuwa sisi watu wa Moshi new channels bado tuzisubirie?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hakuna chanel mpya moshi
   
 7. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Thanx angel msoffe, nilifikiri ni mimi tu ndo sizipati.
   
 8. gody

  gody JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145


  Mimi sikuskia tangazo ila kwenye 2:30 hivi ilinikatalia channel zote na kuniandikia No service
  kuzima na kuwasha tu ika search automatic the 49 channel recieved
  ukihesabu ziko 30
  nimeona itv,eatv ndo inashika, startv
  tbc2 wametoa ,stv e2 wametoa
  yaani kifup sjawaelewa bora mwanzo wamepunguza sana!
   
 9. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  We upo Moshi?
   
 10. gody

  gody JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145

  mimi nipo Dom sory kwa hilo
  lkn ilipofika saa 9:52 yenyewe ikaandika
  Starting update, automatic search
  then update finished; chanels zikajipanga kama mwanzo na nguvu mpya zikiwa channls 51 na zilizokuwa zinasumbua ziko ok!
   
 11. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Heri yenu watu wa Dom. Yaonekana watu wa Moshi hatujawekwa kwenye ratiba. Mbaya zaidi hata mtu ukiwapigia simu hawapokei.
   
 12. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,213
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  tatizo wamekosa ustaarabu wanashindwa toa hata inmformation

  ila morogoro jiandaeni wanakuja after 2 weeks washafunga kila kitu

  mi nilijua free kumbe nazo ni za kulipia coz nilishakisahau

  mi nipo dar jaman ila mlimani wameiondoa hawa jamaa wa ajabu
   
Loading...