Maty JF-Expert Member Aug 24, 2010 2,167 725 Dec 13, 2010 #21 Taso said: Hiyo "great thinker" tumejibatiza wenyewe, great thinkers gani wanafikiria ya kwenye chupi saa zote? Nani alituita sisi great thinkers"? Click to expand... Kuna maeneo mbali mbali mpenzi humu hapa ulipo si mahali pake, ila naona hata wewe mwenyewe huwezi ishi bila kuingia MMU hii inaonyesha kwamba kila mtu akifika hapa anaacha mambo mengine kwenye majukwaa mengine anaanza kula raha hapa
Taso said: Hiyo "great thinker" tumejibatiza wenyewe, great thinkers gani wanafikiria ya kwenye chupi saa zote? Nani alituita sisi great thinkers"? Click to expand... Kuna maeneo mbali mbali mpenzi humu hapa ulipo si mahali pake, ila naona hata wewe mwenyewe huwezi ishi bila kuingia MMU hii inaonyesha kwamba kila mtu akifika hapa anaacha mambo mengine kwenye majukwaa mengine anaanza kula raha hapa
NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member Aug 11, 2010 1,180 592 Dec 13, 2010 #22 Teamo said: i suppose this should be GREAT THINKING: Click to expand... Great thinking Teamo!!
WiseLady JF-Expert Member Jan 22, 2010 3,268 531 Dec 13, 2010 #23 Teamo said: i suppose this should be GREAT THINKING: Click to expand... ha ha ha!
MwanajamiiOne Platinum Member Jul 24, 2008 10,470 6,563 Dec 13, 2010 #24 Mh.................jamani sasa naona nichukue tu likizoo ya lazima........ MUNGU akipenda tutaonana mwakani.
Mh.................jamani sasa naona nichukue tu likizoo ya lazima........ MUNGU akipenda tutaonana mwakani.
Julz Senior Member Nov 10, 2010 107 20 Dec 13, 2010 #25 Hivi yule demu aliyekuchomolea mkiwa guest house tayari ulifanikiwa kumpata tena???Great thinking indeed it was...
Hivi yule demu aliyekuchomolea mkiwa guest house tayari ulifanikiwa kumpata tena???Great thinking indeed it was...