No more Great thinker??JF?

Hiyo "great thinker" tumejibatiza wenyewe, great thinkers gani wanafikiria ya kwenye chupi saa zote?

Nani alituita sisi great thinkers"?

Kuna maeneo mbali mbali mpenzi humu hapa ulipo si mahali pake, ila naona hata wewe mwenyewe huwezi ishi bila kuingia MMU hii inaonyesha kwamba kila mtu akifika hapa anaacha mambo mengine kwenye majukwaa mengine anaanza kula raha hapa
 
Mh.................jamani sasa naona nichukue tu likizoo ya lazima........ MUNGU akipenda tutaonana mwakani.
 
Hivi yule demu aliyekuchomolea mkiwa guest house tayari ulifanikiwa kumpata tena???Great thinking indeed it was...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom