St. Kayumba sijaelewa kabisa
Nahitaji kahawa kwanza niweze amka!! Sielewi
Duniani hakuna kitu kinaitwa siri ya wawili bali kuna kitu kinaitwa CLASSIFIED INFORMATION yaani ni habari maalum kwa watu maalum na kwa watu maalum. ..ukishapita ule wakati maalum ile habari inakuwa sio classified tena yaani sasa inaweza kujulikana kwa wote na isiwe na madhara yoyote kulingana na wakatiDictionary hapa inahusika,
Ok! thanks. nimekupata MkuuDuniani hakuna kitu kinaitwa siri ya wawili bali kuna kitu kinaitwa CLASSIFIED INFORMATION yaani ni habari maalum kwa watu maalum na kwa watu maalum. ..ukishapita ule wakati maalum ile habari inakuwa sio classified tena yaani sasa inaweza kujulikana kwa wote na isiwe na madhara yoyote kulingana na wakati
Lini? Maana wakati fulani wenzetu ukifika hizo "Classified Information" huwa zinawekwa wazi. Wewe lini umeona hapa kwetu jambo hilo limetokea?We will know when it is no longer classified information
So without a regime change, nothing can happen!!Sijawahi ona