shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,339
Naskia kuna hotel moja hapa dar imejaa wagonjwa kutoka huko migodini sijui ipo maeneo gani. Then kwanini mnalilia kwenda kufanya kazi katika mazingira hatarishi kama hayo!!!.
NJAA KAKA NJAAA.
kweli alieshiba hamjui mwenye njaaaaa