No Mercy To Messi!

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
No mercy to Messi tonight! Jack Willshere copy that! Go Gunners faithfuls go! Nasri load our Arsenal! RVP gun Barca down!
 
kijana hapo umenena....
Yani leo lazima kijulikane......
ARSENAL juuuuuuuu..................:first:
 
1. Lehman
2. Eboue
3. Cole
4. Campbell
5. Toure
6. Gilberto
7. Ljungberg
8. Cesc
9. T.H 14 (c)
10. Dutch Master
11. Pires

Hawa ndio Arsenal ambao ningekwenda New Africa kucheza kamali kama wangekutana na Barca usiku huu.
 
Mkuu Gang wa Milano kikosi kipya sasa kinatisha zaidi - ni 'new invincibles' tena kina 'New Dutch Master' RVP!
 
mtang'ang'ana kumkaba messi uku akina villa, pedro na xavi wanafunga magoli.....
 
Huyu dogo huwa hana adabu hata kidogo. huwa nampenda kama anacheza na timu ambayo siyo yangu but usiku huu simtaki nakumbuka alivyonitenda jeuri kule kwao!
 
Jifarinjini tu mpunguze presha kwa muda leo lazima mchapike tu na beki zenu za kuungaunga na supa gruu.
 
Mchango mchango mchango mchango mchango mchango
Mchango wa mazishi ya Arsenal

Waliotoa

Jina Kiasi
1. Mesi 50/=
2. Villa 25/=
3. Pedro 10/=
4. Iniesta 60/=
5. Xavi 100/=
6.
7.

Tafhali tunaomba michango yenu ya hali na mali ili kufanikisha shughuli hiyo nyeti kwa maisha ya wanamichezo hasa arsenal.
Pia tunatanguliza shukrani za dhati kwa kufanikisha mazishi ya mwaka jana baada ya kukandamizwa risasi 4 na jangili Mesi.
 
Huyu dogo huwa hana adabu hata kidogo. huwa nampenda kama anacheza na timu ambayo siyo yangu but usiku huu simtaki nakumbuka alivyonitenda jeuri kule kwao!
messi mpuuzi sana na hana adabu kabisa....sintosahau alivyotutenda roma 2009.
 
Nasikiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa utamu.

iniesta with the ball
 
Back
Top Bottom