Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,639
- 164,775
Hii kauli iliyotolewa kwa ukali na kuelekezwa kwa vyombo vyetu vile ilikuwa nzuri kiasi fulani japo ina ukakasi lakini sijui kama hiyo kauli ina-apply pia kwenye yale makaburi ambayo tuliamua kutoyafukua!
Nawaza tu.
Nawaza tu.