"No matter mtu yuko mkubwa kiasi gani...."

"No matter mtu yuko mkubwa kiasi gani...."

Nyie ha

Nyie hakuna jema kwenu. Makonda alianza na watumia mara hooo vidagaa, akatajwa bosi wenu mara hooo wanaharibu majina ya watu kwa nini asiitwe kimyakimya. Hata majina ya escrow ikitoka bado utasema mengine. Hata haijulikani mnasimamia nini. Pathetic
Eti "pathetic"........Makalio yako
 
........hate what you cant conquer......
 
Hii kauli iliyotolewa kwa ukali na kuelekezwa kwa vyombo vyetu vile na ilikuwa nzuri kiasi fulani japo ina ukakasi lakini sijui kama hiyo kauli ina-apply pia kwenye yale makaburi ambayo tuliamua kutoyafukua!

Nawaza tu.
mbona yule singasinga Singh sethi kaiweka selikali mfukoni
 
Back
Top Bottom