No FAP season two

No FAP season two

Tupo kupambana tena haijaisha mpaka iishe

Nimesoma comment before nilisaha kureplay pale yako ni kwel ulichosema..

Sijawai funga maisha yangu ila nimepanga kujaribu na pia nafanya meditation sio mara kwa mara...

Nimeona umesuggest muda wote nitajaribu hiyo...

Kuhusu Counting nataka niende kisayansi zaid... Maana after 45 days kwa nilivyosoma manii ndo zinakua zimekomaa so nianze kuwa prepared for Ndoto nyevu... Maana last time challenge kubwa ilikua hiyo relapse zikawa nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Time will tell
 
Hongera baba mtumishi
Ila usisahau ile “law” ya usipokotumia kitu kinadisapia 😀
😃😃😃Sina utumishi wowote basi tuu nilisoma niliona kuwa kuna connection inatengenezaa na mtu uliyelala nae ya kiroho na nikaona kwel...

The theory use and disuse naikumbuka hiyo mkuu ipotee tuu maana tunapelekeshwa sana😃😃
 
Hiyo huja automatically sio mpaka kujilazimisha hivyo,

Kwasasa naweza ishi hata miezi 9 bila gitaa wala mti nyama, hata siwazi, tangu January 6 au 7, najisikia poa kama malaika
 
Back
Top Bottom