masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,369
- 19,229
- Thread starter
- #41
haku
chochote kile kinawezekana
hakuna kitu kinachoshindikana chini ya juamasai dada Utaishia kurudi kule kule, baada ya mda mfupi. Bila kuwa spiritual, utakua unafanya kazi bure. kuna kipindi niliona watu, wamedownload hadi app playstore, ya kucount days nilicheka sana. Huwa najiuliza mtu unapata wapi nguvu za kuangalia porn, na kufanya masturbation au kuona sifa na ujanja kwa kuwa mzinzi hasa kwa wanaume wenzangu.
ANGALIZO: mafanikio makubwa kwa mwanaume, yanaenda sambamba na uwezo wa kuhifadhi shahawa zako, kwa mda mrefu sana. Na hili utalifanikisha, kwa kufanya meditation(tahajudi), mda wote bila kuchoka, kwa njia ya Kumshirikisha Mwenyezi Mungu. na kuishi maisha ya ki Mungu duniani, Hii ni kwa wale wasio religious people's.
chochote kile kinawezekana