Una kumbukumbu! We lazima ulipata div 1 o'levelHiki kiinglish cha Katibu wa Umofia kwenye kitabu cha No longer at ease kilimshinda hata Obi Okwonkwo aliyepelekwa kwenda kusoma sheria yeye akasoma Literature Uingereza! I real dont like it!
Una kumbukumbu! We lazima ulipata div 1 o'level
hah hah hah hah!! Hiyo ilikuwa njia tu ya kuwa Mhandisi!!!
Sawa Mhandisi,ila tofauti zako na sweetlady mmeshazimaliza,,??Kaniambia kuwa ameshaachana na wewe..??
Utaachanaje na mtu hujawahi kuwa nae!? Yeye ameona hanipati, kaamua kutulia kwa mumewe baada ya kuona anakaribia kuresti ini pisi kwa ajili yangu!
Hahahahaha! Mwalimu anamung'unya maneno lol. Achana na lugha za wenyewe bana.hah hah hah hah hah! Nakumbuka hata walimu walikuwa wanashindwa kutusomea, achilia mbali kutufafanulia!
Nani kasema hatujawahi kuwa wote? Wanchekesha ! Sosi:FFUtaachanaje na mtu hujawahi kuwa nae!? Yeye ameona hanipati, kaamua kutulia kwa mumewe baada ya kuona anakaribia kuresti ini pisi kwa ajili yangu!