No control over Religious radio stations over hate speeches


Unanikumbusha wakati wa utmwa ambapo Wazungu walikuwa hawataki Black America (slavery) waende shule. Matokeo yake, walipoanza kwenda shule wakaanza kuuona ukweli kwamba walinyimwa elimu kwa sababu ya rangi zao.
Mapinduzi ktk Egypt, Tunisia, ambazo hizi nchi zilikuwa zinasaidiwa sana na West kupinga Waislamu wasiwe na sauti kwa kutumia viongozi Madictator kama Mubarak ili kuwakandamiza Waislamu. Leo tunaona Waislamu duniani wanaanza kuuona huo ukweli.

Waislamu wa TZ wameanza kuuona ukweli. Mapinduzi yanakuja, sasa hivi ni kusuburi wakati tu.
 

Kama mnazo hizo TV nini mnachofuata ktk kujua habari za Kiislamu? Nyie ndiyo wachokozi, kwa sababu baada ya kusikiliza redio zenu za kwaya (boring) mnakuja kusikiliza za Waislamu ili mjue kinachoendelea duniani. Sikilizeni redio zenu za kwaya, na Waachieni Waislamu wasikilize redio zao.
 



ua very circumstantial tupe facts redio gani inasema nini sio tunazunguka ndio maana ya hii forum kuongea kwa uwazi just spit it usiogope hii kuzunguka zunguka sio nzuri redio yeyote ya dini yeyote kama inapandikiza chuki haifai rwanda pia ilianzia huku unaweza usife wewew kwa hizi chuki lakini kizazi chako unakiacha hatarini
 
Wa kulaumiwa hapa ni TCRA na serikali. Ni muhimu sana viongozi husika mjue kuwa kunyamazia matamshi kama haya ni sawa na kuyaunga mkono. Mnaonekana kama ama mnakubali kundi moja la dini nchini linyanyaswe na lingine au mnaogopa kuwachukulia hatua. Tena mjue kuwa wakijibu wakristo kisha mkawachukulia hatua mtakuwa mna-confirm hiyo message mnayosend sasa hivi kwa kukaa kimya. Sheria zipo na zinajulikana, kwa nini hamzitumii?
 
Hivi ile kesi ya kuvunja mabucha ya Nguruwe kule manzese nani alishinda?

a) Serikali,
b) waliovunjiwa maduka
c) waliovunja mabucha.

Chagua jibi lililo sahihi kisha jaza hapa [ ]
 


Inshrot we dont have responsible goverment we are being controlled by Lunatics thats is why even us we are becoming lunatics
 
@ Mwawado- 'Tujitahidi kuepuka malumbano yanayobeza na kutukana dini nyingine...' mi nakubaliana na wewe ila naogopa kama baadhi ya watu wanaheshimu hii issue.

=>Jumapili ya tar. 3/7/2011 wakati naenda saba saba nlimuona abrira kwenye dala dala anasom AN-NUUR nlichokiona moyo wangu ulienda speed, ni matusi ya kiuchochezi kuwatukana wakristo, cjui kwa nini watu waandike kuhusu dini nyingine wakati tuna mambo muhimu ya kuandika, nchi yetu ni masikini tunatakiwa kujadili mikakati maalumu ya namna ya kuondoa umasikini na sio kujadili dini za watu wengine ( ni kukosa kazi na kuishiwa kimawazo)--UPUUUUUUUUUZI mtupu nasema.
MIJADALA YA Mabibo na Sasa Mwenge--- In an open place, Kuna kikundi flani kinajadili na kuikashifu Dini hasa ya ukristo kwa kutumia Biblia--wanasoma mistari na kuijadili---wapuuuzi hawa--badala ya kufanya kazi za uzalishaji mali wanaujadili Ukristo-hawa nimasikini wa mawazo wananiudhi mpaka natamani niwatupie bomb ila kwa vile wana upungufu wa akili i take them as lunatic.

=>Ndugu zangu Waislamu-(wale waelewa mambo), Nakusihini mukionye KIKUNDI hiki kinachojadili na kukashifu Dini za watu wengine wasio Waisilamu-mazara yake mutayasikia na kuyaona.

@ Jamco_za- Nitajie toleo la Tumaini Letu lilotukana Uisilamu, kwani nnaazo kopi zoooooooote, cjawahi ona.

@wewe Ndugu yangu SHY- unalifahamu gazeti la AN NUUR na mijadala ya kikundi flani cha Mabibo Jitegemee na pia kwa sasa kuna kiko Mwenge- they plainly discuss other pple's religions and no one dares telling them to stop. Gazeti hili nimelisoma ni kutukana dini za watu--- hakuna kinachojenga kinaadikwa--Tubadikikeni.

ILI tuwe na amani kwanza watu waache kujadili dini za watu wengine-haswa hadharani kama Mwenge na Mabibo zaidi sana magazetini-kinaniuma saaaaaaaaaaaaaana(wizara ya habari chunguzeni na hatimaye kuyafunga magazeti yanayojadili dini za watu wengine na myafungie mara moja bila kujali ni la dini gani au dhehebu gani)
 
Kuna jambo kubwa sana nimeligundua hususan kwa watu wanaotokea Bara nalo ni kundi fulani kujina bora na lenye wasomi wengi sana na linalotaka kila kitu likiamua basi hata kikiwa nje ya matakwa ya sheria basi lazima yatekelezwe. Hakika hayo ni mawazo potofu sana kujiona wewe mbora kuliko mwenzako. Eleweni kuwa sasa upande wa pili nao wana wasomi wa kutosha sana na wanachambua mambo kwa mapana yake na kutolea maamuzi.

Ni lazima mfahamu nchi yenu inafuata Rules of law, Kuna mabaraza mbalimbali ya kuhakikisha kuwa mtu mmoja au kikundi fulani cha watu hakiwezi kukionea kikundi kingine.

Kwa wale walio bahatika kwenda Viwanja vya sabasaba Dar wakapita banda la TCRA bila shaka walijifunza mengi sana kuhusu uthibiti wa habari na njia halali ya kupeleka malalamiko yako kama unahisi umekashifiwa au hata kukutusi.

Nikipitia vipeperushi nilivyopewa na TCRA wapo wazi kabisaaaaaaa na kama kuna mtu ana malamiko yake kuhusu Radio hizi basi apeleke malalamiko hayo TCRA ambao wana ofisi Dar, Znz, Arusha, Mwanza, Mbeya, dodoma.
email yao ni dg@tcra.co.tz.

wasiliana nao na kama una ushahidi peleka hapo ili sheria ichukue mkondo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…