No Comments

No Comments

Ishmael

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
15,039
Reaction score
6,018
10416597_465309466966775_4300374316995550107_n.jpg
 
Kipindi kile amelazimishwa kujiuzuru uwaziri mkuu mbina hawakwenda kumpa pole? Leo anautaka urais ndio waende kujipendekeza kwa ticket ya maombi...Lowassa na hawa wachungaji wote ni wasanii
 
Nape Kampa ukweli ingawa alitaka kujifanya kidume. Yeye mwenyewe kawambia watu wake aliowanunua wasindelee kwenda Dodoma.
 
Njaa mbaya sana hao jamaa wamepauka balaa
 
Mimi nimejitahidi kumuangalia mmoja aliyebeba bango lenye jina la jimbo letu lakini sikumfahamu, hata nilipowauliza waumini wengine hapa jimboni hakuna anayeonekana kumfahamu! Sasa na hii picha wachungaji wote wakiwa wamepiga suti zinazokaribia kufanana ni swali lingine kwangu. Isije kuwa aliyepewa pesa ya kuorganize huu 'mchezo' kawakusanya wazee wa kitaa na kuwapiga suti pamoja na vineck tie vyeupe! Ukweli utajulikana tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom