No comment.

No comment.

Dah! Enzi zangu nilikuwa noma. Nilikuwa natupia magoli mpaka wakanibatiza jina la muibiaji maarufu kwenye game ya soka "Ruud Van Nesterooy."
 
Huyo anayemkanyaga mwenzake baada ya kuona analiwa vyema atakuwa ana chembe chembe za ccm sio bure!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom