No comment.

No comment.

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
DSC_1006.JPG

MWENYEKITI wa UVCCM mkoa wa Mbeya, Aman Kajuna, naye akipiga magoti kuomba kura
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="class: tr-caption"]MWENYEKITI wa Jumuia ya Wazazi ya CCM mkoa wa Mbeya, Fatuma Kasenga akiomba kura kwa mtindo wa kujigalagaza ardhini[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

DSC_1022.JPG
 
Hivi huko ccm ukiingia unapatwa na kichaa..? Mbona zaman hakukuwa na ujinga kama huu..?
 
Huyu mama ikitokea akapata ubunge halafu ukamuonyesha hii picha utanyea ndoo hadi ufwe
 
Hivi huko ccm ukiingia unapatwa na kichaa..? Mbona zaman hakukuwa na ujinga kama huu..?

Nimejiuliza sana hili swali.............bado sina jibu.......
kutakuwa kuna nini huko.......?.......wananipa wakati mgumu sana hawa watu mimi mpiga kura.......
wananichanganya...........
 
Ccm Ni Shida Watu Wapata Vichaa Wakati Vyeti Vya Milembe Hawana
 
Halafu wakifika mjengoni kila kitu ni ndiooooooooooo
 
hili wazo la kupiga magoti wakiomba kura wamelipata wapi, ili iweje na ni nani kawafundisha? Kwa mara ya kwanza nilimuona Dr. Kawambwa na ile picha ilinihuzunisha sana, nadhani hata yeye anajutia kufanya kitendo kile A PhD holder kufanya upuuzi kama ule alitutia aibu sana tulio waelewa.

sasa naona mtindo unaendelea, hiii inaonesha CCM sasa imekuwa mungu kwa baadhi ya watu hapa nchini. acheni hii tabia mbaya
 
kutafari =kutafakari
asante kwa masahihisho, nakubali udhaifu kuwa nina below katika kuandika. tayari Nimeihariri Kiongozi, samahani kwa usumbufu uliojitokeza kwa wasomaji
 
hili wazo la kupiga magoti wakiomba kura wamelipata wapi, ili iweje na ni nani kawafundisha? Kwa mara ya kwanza nilimuona Dr. Kawambwa na ile picha ilinihuzunisha sana, nadhani hata yeye anajutia kufanya kitendo kile A PhD holder kufanya upuuzi kama ule alitutia aibu sana tulio waelewa.

sasa naona mtindo unaendelea, hiii inaonesha CCM sasa imekuwa mungu kwa baadhi ya watu hapa nchini. acheni hii tabia mbaya

That's why I hate POLITIC
 
Nimejiuliza sana hili swali.............bado sina jibu.......
kutakuwa kuna nini huko.......?.......wananipa wakati mgumu sana hawa watu mimi mpiga kura.......
wananichanganya...........

Hapa Preta itabidi tukubaliane na kauli ya Mkuu MANI kwamba hawa wanatafuta ulaji tu na sio kutaka kuwatumikia watanzania.. Kwa mtu safi na mwenye nia ya dhati kabisa hawezi kujidhalilisha katika kutafuta kupata kura za huruma.. Lakini kama unasaka ulaji kujidhalilisha ni sehemu kumtumikia ------ ili upate mlo wako..

Ccm ni janga..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom