No comment

No comment

Nimeamini sasa ndo yale maisha bora ndo yana anza ni safi tena taratibu bila ya pupa
 
Ukitaka kuwaheshimu hao wazee Uwaone watoto walio wazaa. Hizo Mashine usizione hivyo itakua zilifanya kazi nzuri kwa faida ya Dunia.
 
Ukitaka kujua maisha ya mjini ni mbwembwe ndio maana hatuishi muda mrefu angalia hao...Dhiki zao lakni amefikisha hadi maisha ya uzee na yuko Strong bado....Chukua mzee wa mjini wa hivyo halafu mwambie achuchumae, atapiga mikelele ya miguu kuuma ile mbaya...


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom