Ni kweli kabisa hata mi yashanifika hayo na hasa pale nilipoishewa na njuruku mfukoni tena na mitusi mizeto mizeto lakini kwa udume wangu sikujibu kitu nikafungasha virago vyangu na nikaingea mtini kimya kimya na hivi sasa nipo njiani kumtafuta mwenza mpya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.