kama wazazi mna sura za kizombi hata umsuke style gani atabaki kuwa zombie tu!
tena mwanangaau si unaikumbuka ile sala niliyokufundisha??
Natangaza kukatolea mahari ni sunnah..!
Ndio mama yangu, naikumbuka. Huwa tunaomba sana. .
i was just joking mkuu..very soory..!We unatafuta usiyoyajua. Tena futa mawazo hayo juu ya mwanangu!
Guinness Book of Records, amekuwa ndio msichana mzuri kuliko wote dunianiBujibuji umetoa wapi picha ya mwanangu?