No Comment!

No Comment!

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,857
Reaction score
1,432
417135_340945292615683_100001006443463_961573_1814014181_n.jpg
Una la kusema?......

Halafu mtu anakuambia tulinde amani tusije tukafa....si bora nife nikiwa najaribu kutafuta suluhisho? hata nikikaa tu bila kufanya chochote nitakufa tu kwa style hii!!
 
wana utani na wale wabunge wenye vitambi ka puto
 
Kwanza ni kudanganyika tukifikiria hapa tuna AMANI

Amani wakati watu wanajifia wenyewe??

Ni Mtanzania gani anayemudu gharama za maisha?

Ni wangapi wanaomudu Matibabu mazuri??

Ni wangapi wanamudu elimu nzuri????

Mtu anakuja kukudanganya eti "AMANI IMEJAA"...NONSENSE.....WHAT IS AMANI!!!
 
Sijaelewa. WHO IS GOVERNMENT?

Government ni Serikali, The People ni mimi na wewe.....Ni mfano halisi wa Serikali ya Tanzania si unajui inavyotukamua??
 
Back
Top Bottom