No arms no legs no worries

No arms no legs no worries

kweyamba_dave

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
961
Reaction score
484
1390730318647.jpg

"Mungu ni mkubwa huwa namshukuru kwa kila jambo nataman ningekuwa na mikono pamoja na miguu ila sijafikia kudharau nilichopewa"
 
Kweli Mungu ni mkubwa na ashukuriwe na kila mwenye pumzi,la kustaajabisha ni kuwa kuna watu wana miguu na bado wanamlaumu Mungu eti hawana viatu.😛ray:
 
Kweli Mungu ni mkubwa na ashukuriwe na kila mwenye pumzi,la kustaajabisha ni kuwa kuna watu wana miguu na bado wanamlaumu Mungu eti hawana viatu.😛ray:

kweli kabisa kwa kipindi chote tunachonunua karibu kila kitu kasoro pumzi yake.hatuna ruhusa ya kumlaumu bali kumwomba atuzidishie neema
 
Mungu ni Mwema sana kila iitwapo leo ndiyo maana tunasema muacheni Mungu aitwe Mungu.😛ray:
 
Back
Top Bottom