PETER JOHN MLAY
Member
- Feb 16, 2012
- 27
- 13
Inasemekana Nape mwenyewe ameomba kujiunga na CDM
Heshima ipi mkuu!we Nnauye umeshaishiwa na sera so ni bora ukaka kimya ili ulinde heshima yako,mbona una kiherehere sana au na wewe ni mmoja wapo unayetaka kuhamia CHADEMA?huna jipya NAPEEEEE...
Pamoja na hoja za rufaa, kitabu hicho cha rufaa chenye kurasa 985 ina mwenendo mzima wa shauri, vielelezo na viambatanisho vyote vilivyowasilishwa Mahakama Kuu.
hiyo rufaa itasikilizwa kwa mda gani wakuu...???
huo mda mrefu sana,niliwahi kusikia ni miezi mitatu mkuu?kwa sheria za uchaguzi kuhusu kesi za rufaa, hukumu zinatakiwa zitolewe maamuzi ndani ya mwaka