Nnatafuta TV inch >40 kwa mkopo

Nnatafuta TV inch >40 kwa mkopo

Naibili

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
1,878
Reaction score
1,061
Habari wadau wa Jf, kama kawaida vyuma vimekaza na mimi nnawaleta deal mezani, nnahitaji TV kuanzia inchi 40 mpaka 60 kwa bei nafuu iwe dukani au mkononi kikubwa iwe na ubora, malipo ni kidogo kidogo kwa kadri tutakavyokubaliana niko tayari tuandikishiane
 
Nenda magereza au hospital bashite amezigawa jana
 
Mkuu hivi hii ni biashara au utumwa?
SAIZI YA TV UCHAGUE WEWE
TENA UMEJIPANGIA NA BEI KWA BEI NAFUU,
TENA MALIPO NI KIDOGO KIDOGO

HAHAHAHA DAH KAZI KWELI KWELI.
 
Back
Top Bottom