Nnatafuta mwenye FM frequency ya Dar es salaam

Nnatafuta mwenye FM frequency ya Dar es salaam

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
4,657
Reaction score
7,146
wadau nnamtafuta mtu ambae ana masafa ya FM ya Mkoa wa Dar es salaam,nnajua wapo ambao wanayo ila bado awajaingia hewani,nnataka ku venture nae ili nianzishe radio ,mwenye nayo ani PM
nnatanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom