Nnaomba muongozo - TZ international driving licence

Nnaomba muongozo - TZ international driving licence

Leseni yetu ya kawaida inakubalika katika nchi zote za SADC bila shida yoyote.Kwa nchi nyingine za nje ya Afrika utahitaji kwenda kufanya test na kupewa Provisional Driving License jwa matumizi ya muda kama itakidhi mahitaji yako au kufanya mtihani kupata leseni ya kawaida ya sehemu husika.
Kiongozi hicho ulicho kiandika hakina ukweli leseni yetu inatumika kwa gali ya Tanzania tu huwezi kwenda kufanyia kazi nchi nyingine
 
Back
Top Bottom