Hahahahaha. . . yani mpaka ukaenda clinic kabla ya muda?
Hongera mwaya. . .
We Mtindi nawe. . .
Haya bana. . .Next time utamsindikiza tena?
I know. . .I know!!Furaha yangu ilikuwa si ya kawaida, so nilikuwa curious kufanya chochote kinachohusu mimba.
Ahsante Lizzy, ukweli sifa na utukufu namrudishia Mungu, maana nilipitia 9months ngumu zenye kash kash na mapito mengi.
Ahhhhh it's not a pretty picture aisee.ofu kozi, ila ananifukuza ndani
anaona aibu nikimuona kwenye state ile.
So nilikuwa nasubiri kwanje.
It was so hard, labda mzunguko nilofanya hapo ni sawa na kutoka Dar hadi Cape Town.
Basically Uliuza mechi,sasa inategemea uliiuza katika mazingira yepi,hapo ndo maswali mia yanaazniaHaijalishi uliikimbia, mliishia kutoa ama mlilea. Siku mwenzio alipokwambia "Nna mimba". . . "Nahisi/nadhani nna mimba!" ulijisikiaje?
Na wewe mdada/mama ulipogundua/hisi una mimba ulijisikiaje?
Mawazo gani yaliwapitia kichwani??
Just CURIOUS. . . .
Sema Lizzy unamimba unaogopa kumwambia jamaa yako unatafuta majibu kwanza kwa wanaJF.Mwambie tu unamimba acha uhoga bana...eeeeh
Ahhhhh it's not a pretty picture aisee.
Alafu nikifikiria kama unajali kweli alafu mwenzio yuko ndani analia tu maumivu lazima upunguze kitambi kidogo.
Hongera sana Ma dou dou.
Kashakua sasa ehhhh?
Usisubiri kutulia baadae. . . utajatulizwa na magonjwa!!!
Itakua ivi.
View attachment 50535[/QUOTumeshamaliza
To be honest nilihaha sana mana demu mwenyewe alikua wakusoma, hatimaye akapata vidonge flani ambavyo katika kuvitumia alitakiwa asile kitu all the day, na katika kuvitumia akatakiwa avimumunye kama pipi. Ndo vikamsaidia.
To be honest nilihaha sana mana demu mwenyewe alikua wakusoma, hatimaye akapata vidonge flani ambavyo katika kuvitumia alitakiwa asile kitu all the day, na katika kuvitumia akatakiwa avimumunye kama pipi. Ndo vikamsaidia.