Nna mimba. . .


OK dont tell me bana!
 
Wifi huyo alikuwa kiboko lol...hana aibu kumsingizia mtu mimba?..afu ya miezi mingi hivyo khaaa.

Saa hii ningekuwa na kakijana ka yule jamaa pale head office yetu nampelekea mwanae ile shule ya kiinglishi huku yeye ananicheck tu!
 
Wife akiwa ana mimba huwa na furahi tu, uwezo wa kumlea mtoto ni nao, sababu za kumzalisha mke wangu nazo, niya ya kumzalisha watoto wengine ninayo, na uwezo wa kuoa mke mwingine azae kama wife ninao :cool2:

I see!!!!!!!!!!!!
 

what a wonderful day will be if that will happen to me!!!!!
 
Nilimuambia akiwa wa kiume ataitwa konyagi na akiwa wa kike ataitwa reds
 
Binafsi sikuambiwa hadi mtoto alipo zaliwa,na nashukuru Mungu sikuambiwa
maana kwa wakati ule lazima ningeshauri itoke,sikuwa tayari.
 
Started by Lizzy
mimba
Hivi mwanaume kakataa mimba we umelea ya nini? Haki ya nani mi mwanaume hajaniachia mimba nikalea, labda aniachie mtoto hapo angalau!"

Hayo ni maneno ya dada mmoja kwenda kwa mwingine ambae ni mama mtarajiwa. Alikua anamwambia kauli yake ikisuggest kwamba mwanaume anapokimbia/kataa mimba basi kiumbe cha watu kinakosa haki ya kuishi hivyo kitolewe. Hii kitu imenifanya nijiulize. . .

1.Hivi mimba ni ya nani? Ya mwanaume hivyo asipokua tayari kushiriki katika malezi yake basi iondolewe na kutupiliwa mbali?
2.Mimba ni ugonjwa usiozuilika hata watu wasijali wakati wa kupata ila wawe tayari kutumia gharama kuziondoa?
3.Baadhi ya wanawake wa akili za aina gani hata wajiweke katika position za kupata mimba na mwanaume asiyeeleweka huku wakijua fika 'BILA KUWEZESHWA HAWAWEZI'??"

Nasikitika kuona kwamba wanawake wengine wana fikra zilizokaa kinyume nyume na bila huruma wako tayari kuadhibu viumbe ambavyo havikishiriki kwenye mambo na starehe zao binafsi. .....hebu tueleze yaliokusibu dada ha ha ha ha
 

Hahahahaha. . .
Hiyo reaction ni hatari.
 
lizzy nikuulize kitu?

Una mimba? Maana thread za mimba hizi mmmmh!!???

BT nikiwa nayo wala hamtojua!! Someone else is. . . tunahesabu siku tu kwahiyo hata swala la kukataliwa/kutoa halimhusu, i'm just curious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…