Hey guys kama title inavyosema .......nataka mtu aliye willing tubadilishane simu. Mimi nina a jailbroken iphone 3g ya 16Gb iko kwenye hali nzuri. Nataka mtu yoyote mwenye simu original na iwe n ya touch na isiwe ndogo sana. If you can nipigie kwa 0763969066 au shuka hapa kwa thread.
