Nmueleweje huyu mwanamke

Nmueleweje huyu mwanamke

wewe ni mwanaume mkuu jiamini, mwanamke ndio anapaswa awe anakusumbua kuwa utampeleka lini kwenu? sio ww kumfuatafuata na kuonekana unahitaji ndoa kwa udi na uvumba, acha kumpa kick huyo mwanamke kwanzia sasahivi ww potezea habari ya kumpeleka kwenu ww kaa kimya, mda ukifika atajitambua mwenyewe.
 
mkuu niliwahi muandalia nauli December mwaka janaaa aliishia kunambia kazi zmembanaaaa Na kunipa mifano hiyo ya marafik zako waloolewa kabla ya kupelekwa kwa wazazi.Mchezo huo umeendelea piaaa mwaka huu..Najua nauli n jukumu langu Na kwa kipato chake najua anaweza kuimudu Na wala sikupinga juu ya kumpatia yeye..Tatizo n kwa nn amekua akitia vikwazo juuu ya yeye kwenda kwetu kablaaa huku akitaka mm niende kwao wakat wa posa,mahari Na engagement kwa kisingizio wazazi wake hawana tatizo Na kunifahamu au kutonifahamu kabla ya hayo yote
Kuna kitu kimejificha hapa ila muombe Mungu kwa bidii naye atakuonyesha makuu usiyoyajua.
 
be a man hamna tatizo hapo hapa utakorogwa akili tuuuu. halafu unatia aibu kulalamika umeombwa nauli ewwhhh eti unaelezea indetail anafanya kazi halafu anaomba nauli! kwahiyo napete ya uchumba itabidi anunue kwa sababu ana mshahara sio??
 
Tatizo nimeona wewe unaiolewa familia yenu na ukoo wenu. Huoi kujenga familia yako. We umempenda? Unahis ni mke bora? Will she be there as a wife. Swala la ndugu kuingizwa kwenye familia ndo chanzo cha mifarakano. Maamuz fanyeni nyie. Siku ya engagement watamuona tuu kama yeye hayupo comfortable kuja kwenu before why forcing? Its good kujuana ila sio lazima. Kama kasema umpe nauli basi mpe... mbona mwanaume unagubu yaani naona huyo dada kazi anayo. Yaan issue ndogo kama hiyo mnashindwa kufikia muafaka .. bro haupo serious. Toa nauli peleka binti home. Kama hayupo comfortable watamuona siku ya engagement. Watoto wa watu hawa kumsafirisha huko mikoan kwenu akipata tatizo huko njian na kwao hujajitambulisha? Mbona upo kisorosoro hivyo?

Ushauri.
Nenda kwao kajitambulishe.
Be a man... toa hela naul+pesa ya kujikim njian.
Oa.
Kwann ASIWE COMFORTABLE kuwaona wazazi????mi naona suala la kutambulishwa kwa wazazi ni heshima ya mwanzo kabisa kabla ya ndoa
...kama hataki tambulishwa kwenu kwa sasa basi hakufai na wewe usijitambulishe kwao....hyu bdo hajawa desperate ndo maana pozi nyingi ana umri gni mkuu??
 
Kwann ASIWE COMFORTABLE kuwaona wazazi????mi naona suala la kutambulishwa kwa wazazi ni heshima ya mwanzo kabisa kabla ya ndoa
...kama hataki tambulishwa kwenu kwa sasa basi hakufai na wewe usijitambulishe kwao....hyu bdo hajawa desperate ndo maana pozi nyingi ana umri gni mkuu??
bout 28 mkuu and she's 25
 
bout 28 mkuu and she's 25
Bas ndo maana hayuko desperate...ila kaka na wewe usiwe desperate sana bdo ni mdg kwa 28...mie nna 35 now na bdo najisogeza tu...usioe tu kwakua fulani kaoa...au pressure...oa kwakua umepata wa kumuoa na hakupi mizengwee ya ajab ajab kama hyu...hyu nenda nae taratibu ila suala la kumtambulisha usiliruke maana hta wazaz wako watakushangaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom