Nmueleweje huyu mwanamke

Nmueleweje huyu mwanamke

Mimi nijuavyo utambulisho huanza upande wa mwanaume then kwa mwanamke....sasa yeye anataka uanze kwao kwani wewe unaolewa..aache usista du wa kijinga
nilipomgomea kaninunia siku ya nne sasa mkuu...
 
mkuuu yeye anataka nikienda kwao n posa,mahari Na engagement..Anadai wazazi wake hawana tatizooo Na mm kujulikana siku ya matukio hayooo..kimsingi nilitaka twende kwetu angalau wazazi wamfahamu kabla ya kwenda kwao Na hapo ndipo drama zikaanzaaa
Hapa sasa umeniweka sawa. Kiutaratibu unaendaje kutoa posa wakati mtu hajulikani hata kwenu? Na inawezekana je uende tu siku ya kwanza na kutoa posa? Utaambulisho pande zote mbili ni muhimu kwanza ndio posa ifuate
 
Acha ubahili mkuuu MPE nauli watu tunahonga magari wewe nauli tu jasho
 
Acha ubahili mkuuu MPE nauli watu tunahonga magari wewe nauli tu jasho
Sawa mkuu wewe uko vizuri sana kwenye kuhonga..Mm simzungumzii hawara au nyumba ndogo hapo wa kuhongwa nazungumzie mwanamke ninayetaka kumuoaaaa..Afu fahamu hakuna nilikosema nmeshindwa kumpa nauli..Kuna mambo mengine zaidi ya nauli ukisoma utaelewaaa kama unahitaji kuelewaaa
 
Hapa sasa umeniweka sawa. Kiutaratibu unaendaje kutoa posa wakati mtu hajulikani hata kwenu? Na inawezekana je uende tu siku ya kwanza na kutoa posa? Utaambulisho pande zote mbili ni muhimu kwanza ndio posa ifuate
Labda ndio taratibu za Kihapa kazi tu au Kidigitally..Kimsingi naona hili limenishinda nitasurrender siku si nyingi Na kumpa Go ahead!
 
Dawa ni kupiga kimya 2 mana hpo umeingia chaka....kma ameanza figisufigisu mapema hii huko mbeleni atakusumbua sana jifanye kupotezea hiyo process uone itakuaje
sawa mkuu..Naposema kaninunia siku ya nne manake nmeamua kupiga kimyaaaa siku ya nne..She neither called nor texted me!
 
Tumekuwa marafiki kwa muda wa miezi nanee sasa..Kimsingi tumeridhiana kuelekea kwenye ndoaaa baada yankuona kila mmoja anaupendo wa kutosha juu ya mwenzie(using my criteria)

Tatizo linakuja pale tunapotaka kuingia kwenye engagement Na kuelekea ndoa..kwanza hataki nmepeleke kwa wazazi wangu Kabla ya kwenda kwa wazazi wake.. Na amekua akinipa mifano juu ya marafiki zake walioolewa pasipo ya kufika Na kutambulishwa kwa wazazi..mbaya zaidi amenitaarifu hata kama tutaenda kujitambulisha kwetu basii nimuandalie naulii.She is working and earning an average salary of a degree holder in social public institutions.Nafahamiana Na baadhi ya kaka zake Na Dada zake..Kwetu hakuna anayenfahamu zaidi ya marafiki zangu..Na ikumbukwe kuwa ninaishi Na kufanya kazi mkoa tofauti Na yeye.

Wakuu mnisaidie hivi huyu Ana nia ya ndoaaaa au ndo ametega Na kutupanga anasubiriaaa atakayewahi kutangaza Na kufanikisha ndoaaa? Je n mwanamke aliye serious Na tunachotaka kukifanya au Ana Jambo lakee?
"...Utamuoa bhana acha uwoga, mwanaume unalia lia nini? labda mpo wawili bado anapima afane maisha na yupi"
 
Tatizo nimeona wewe unaiolewa familia yenu na ukoo wenu. Huoi kujenga familia yako. We umempenda? Unahis ni mke bora? Will she be there as a wife. Swala la ndugu kuingizwa kwenye familia ndo chanzo cha mifarakano. Maamuz fanyeni nyie. Siku ya engagement watamuona tuu kama yeye hayupo comfortable kuja kwenu before why forcing? Its good kujuana ila sio lazima. Kama kasema umpe nauli basi mpe... mbona mwanaume unagubu yaani naona huyo dada kazi anayo. Yaan issue ndogo kama hiyo mnashindwa kufikia muafaka .. bro haupo serious. Toa nauli peleka binti home. Kama hayupo comfortable watamuona siku ya engagement. Watoto wa watu hawa kumsafirisha huko mikoan kwenu akipata tatizo huko njian na kwao hujajitambulisha? Mbona upo kisorosoro hivyo?

Ushauri.
Nenda kwao kajitambulishe.
Be a man... toa hela naul+pesa ya kujikim njian.
Oa.
 
"...Utamuoa bhana acha uwoga, mwanaume unalia lia nini? labda mpo wawili bado anapima afane maisha na yupi"
hahaaaaaa chapter closed..maamuzi magumu kama ya kumkata lowasa yashafanyika hapaaaa..Ndoa imeota mabawa hapaaaaa
 
Tatizo nimeona wewe unaiolewa familia yenu na ukoo wenu. Huoi kujenga familia yako. We umempenda? Unahis ni mke bora? Will she be there as a wife. Swala la ndugu kuingizwa kwenye familia ndo chanzo cha mifarakano. Maamuz fanyeni nyie. Siku ya engagement watamuona tuu kama yeye hayupo comfortable kuja kwenu before why forcing? Its good kujuana ila sio lazima. Kama kasema umpe nauli basi mpe... mbona mwanaume unagubu yaani naona huyo dada kazi anayo. Yaan issue ndogo kama hiyo mnashindwa kufikia muafaka .. bro haupo serious. Toa nauli peleka binti home. Kama hayupo comfortable watamuona siku ya engagement. Watoto wa watu hawa kumsafirisha huko mikoan kwenu akipata tatizo huko njian na kwao hujajitambulisha? Mbona upo kisorosoro hivyo?

Ushauri.
Nenda kwao kajitambulishe.
Be a man... toa hela naul+pesa ya kujikim njian.
Oa.
sawa mkuu nmekuelewa.point noted
 
hilo ni jema kwa kuwa mlikubaliana hivyoooo...Mm nilikubaliana nae kwenda kwetu kwanza Jambo ambalo kwangu naona ni la busara zaidi..Lakin yeye kwake n kama usumbufu Na halina umuhimu Na lengo la kutaja nauli(Tena tiketi ya ndege)..nadhan n sehemu mojawapo ya kuinua vikwazo zaidi..Nawaza siku kutatokea tatizo katika familia baada ya kuingia katoka ndoaaa hatokua Na mashart tena kama hayaaaa...
Huyu dada anapoint ....kwa binti mwenye maadil huwez msafirisha hadi kwenu mtu hujajitambulisha. Ndo maana anaona ugumu kufanya hilo jambo only tuu ndugu zako wa muone wa mtathimin .... kama anavigezo ndo wakupe go ahead umuoe... chaaaaa.. . Inaonekana binti hayupo desperate bado... u need the one desperate kuolewa ndo utahis anakufaaa.
 
Majanga!

Hujui kama wewe n plan B, plan A anaendelea kuwekwa sawa akikubali kuoa unamwagwa
 
Ama kweli penye miti hamna wajenzi thread closed
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom