Nmejikuta nikiishia kwa rafiki yake!

Nmejikuta nikiishia kwa rafiki yake!

sor nlikuwa namaanisha jf kwan natumia hii mitandao yote jf and fb
Imekaa mno ki-fb, kama alivyokushauri mchangiaji mmonja hapo juu, ungeiacha huko huko fb kwani hapa si saizi yake hata kidogo.
 
Jf ataadvise watoto..soma ulete shahada upate ushauri acha uzinzi mda wako bado na uache kucopy na kupaste

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mh wewe hujatulia huna lolote kama ulikuwa unampenda yule mwingine huyo wa sasa wa nini
 
Wandugu naomba mnisaidie,nlpoingia chuo kikuu nlitokea kumpenda cna msichana mmoja ila ckuwah kumwambia,cku moja rafiki yake aliomba kuja room kwangu nkakubal,na alikuja na huyo msichana nnayempenda.Walipofika nliwanunulia vnywaji na mazungumzo yaliendelea,yule msichana nnayempenda alitoka nje na kutuacha mm na rafiki yake,hamuwezi amin wana fb ilikuwa ni kama bumbuwaz lmenipata na ckuelewa nlichokua nafanya kwan nlijikuta nmemtongoza mtu ambaye hata cku moja ckuwah dhan ntakuwa nae na yule msichana ninae mpenda aliporudi alikuta rafiki yake anataka kkubal kuwa wangu hvyo nkamwambia anijibu cku nyingine.Baada ya hap nlijiuliza cna nn kmetokea kwangu,ckuwa na cha kufanya zaidi ya kuanzisha mahusiano na tu nsiyempenda na kama unavyojua wasichana waafrica wanapenda mara moja hvyo amekuwa akinipenda cna.Nilipozungumza na msichana nnayempenda alinambia kuwa hata yy ananipenda ila pia anaogopa kumuumiza rafiki yake,SS wandugu nmechanganyikiwa kumwacha huyu nliyenae ili nipate furaha yangu ya kwel cwezi na nmeshindwa nifanye nn?ushauri plz

wee waogopa bure tuu....hapo mbona unaweza kuwagegeda wote wawili na hamna shida kabisa....wanawake wanachukiana so kila mmoja atataka kuonyesha kuwa yeye ndio anaweza kukupa wewe raha zaidi. so endelea tuu kumpa sound bidada huyo unayempenda wala hamna shida ataingia line tuu
 
mwanchuo huyo king'asti, ana copy hata kuedit hajui, eti wa fb, nani kakwambia hapa ni fb? komea hukohuko fesibuku ala....!

Nimepata shida Kweli kuelewa....
 
Dubai University college of desh desh..anachukua masters.

Kaa nao wote uwaweke wazi af waambie kwan ushaanza kumla au bado?kama bado good for you,kama tayari ur busted... Expect anything..kwanini uishi bila furaha..and u knw where your happiness is.
Cmon
 
Wandugu naomba mnisaidie,nlpoingia chuo kikuu nlitokea kumpenda cna msichana mmoja ila ckuwah kumwambia,cku moja rafiki yake aliomba kuja room kwangu nkakubal,na alikuja na huyo msichana nnayempenda.Walipofika nliwanunulia vnywaji na mazungumzo yaliendelea,yule msichana nnayempenda alitoka nje na kutuacha mm na rafiki yake,hamuwezi amin wana fb ilikuwa ni kama bumbuwaz lmenipata na ckuelewa nlichokua nafanya kwan nlijikuta nmemtongoza mtu ambaye hata cku moja ckuwah dhan ntakuwa nae na yule msichana ninae mpenda aliporudi alikuta rafiki yake anataka kkubal kuwa wangu hvyo nkamwambia anijibu cku nyingine.Baada ya hap nlijiuliza cna nn kmetokea kwangu,ckuwa na cha kufanya zaidi ya kuanzisha mahusiano na tu nsiyempenda na kama unavyojua wasichana waafrica wanapenda mara moja hvyo amekuwa akinipenda cna.Nilipozungumza na msichana nnayempenda alinambia kuwa hata yy ananipenda ila pia anaogopa kumuumiza rafiki yake,SS wandugu nmechanganyikiwa kumwacha huyu nliyenae ili nipate furaha yangu ya kwel cwezi na nmeshindwa nifanye nn?ushauri plz
WOTE mmechanganyikiwa, hata sijui nimshauri nani, kati ya wewe, na hao mabinti wawili.Kwa kweli mnahitaji maombi.
 
Wandugu naomba mnisaidie,nlpoingia chuo kikuu nlitokea kumpenda cna msichana mmoja ila ckuwah kumwambia,cku moja rafiki yake aliomba kuja room kwangu nkakubal,na alikuja na huyo msichana nnayempenda.Walipofika nliwanunulia vnywaji na mazungumzo yaliendelea,yule msichana nnayempenda alitoka nje na kutuacha mm na rafiki yake,hamuwezi amin wana fb ilikuwa ni kama bumbuwaz lmenipata na ckuelewa nlichokua nafanya kwan nlijikuta nmemtongoza mtu ambaye hata cku moja ckuwah dhan ntakuwa nae na yule msichana ninae mpenda aliporudi alikuta rafiki yake anataka kkubal kuwa wangu hvyo nkamwambia anijibu cku nyingine.Baada ya hap nlijiuliza cna nn kmetokea kwangu,ckuwa na cha kufanya zaidi ya kuanzisha mahusiano na tu nsiyempenda na kama unavyojua wasichana waafrica wanapenda mara moja hvyo amekuwa akinipenda cna.Nilipozungumza na msichana nnayempenda alinambia kuwa hata yy ananipenda ila pia anaogopa kumuumiza rafiki yake,SS wandugu nmechanganyikiwa kumwacha huyu nliyenae ili nipate furaha yangu ya kwel cwezi na nmeshindwa nifanye nn?ushauri plz

sikushauri uwe malaya wa kiume tulia hata ungepewa warembo wote duniani huwezi tosheka mwamini yesu atakuondolea matamaa yanayotaka kukumaliza ukiwa bado dogo
 
Back
Top Bottom