Nmejikuta nikiishia kwa rafiki yake!

Nmejikuta nikiishia kwa rafiki yake!

Wandugu naomba mnisaidie,nlpoingia chuo kikuu nlitokea kumpenda cna msichana mmoja ila ckuwah kumwambia,cku moja rafiki yake aliomba kuja room kwangu nkakubal,na alikuja na huyo msichana nnayempenda.Walipofika nliwanunulia vnywaji na mazungumzo yaliendelea,yule msichana nnayempenda alitoka nje na kutuacha mm na rafiki yake,hamuwezi amin wana fb ilikuwa ni kama bumbuwaz lmenipata na ckuelewa nlichokua nafanya kwan nlijikuta nmemtongoza mtu ambaye hata cku moja ckuwah dhan ntakuwa nae na yule msichana ninae mpenda aliporudi alikuta rafiki yake anataka kkubal kuwa wangu hvyo nkamwambia anijibu cku nyingine.Baada ya hap nlijiuliza cna nn kmetokea kwangu,ckuwa na cha kufanya zaidi ya kuanzisha mahusiano na tu nsiyempenda na kama unavyojua wasichana waafrica wanapenda mara moja hvyo amekuwa akinipenda cna.Nilipozungumza na msichana nnayempenda alinambia kuwa hata yy ananipenda ila pia anaogopa kumuumiza rafiki yake,SS wandugu nmechanganyikiwa kumwacha huyu nliyenae ili nipate furaha yangu ya kwel cwezi na nmeshindwa nifanye nn?ushauri plz

Sikiliza moyo wako mwenyewe, na kisha uufuate..........hakuna mtaalam wa mapenzi kwa mtu mwingine, kila mtu ni mtaalam kwa mapenzi yake yeye mwenyewe na si kwa mtu mwingine......!!!!!
 
mwanchuo huyo king'asti, ana copy hata kuedit hajui, eti wa fb, nani kakwambia hapa ni fb? komea hukohuko fesibuku ala....!

Ni kwel natumia hii mitandao yote and i've already say sorr!also this is the serious issue plz
 

Kwel cc watanzania tna vtuko yan ww kuona kosa la kuandika fb badala ya jf imekua big deal kuliko ushauri wako ambao ungeweza kumsaidia kjana mwenzio.inaonyesha ni jnsi gan ukubwa wa pua si wingi wa kamasi!
 
sikushauri uwe malaya wa kiume tulia hata ungepewa warembo wote duniani huwezi tosheka mwamini yesu atakuondolea matamaa yanayotaka kukumaliza ukiwa bado dogo

thanx!
 
Nitumie namba yako nikutukane kwanza halafu ni kushauri wewe Mburura.
 
Back
Top Bottom