Wandugu naomba mnisaidie,nlpoingia chuo kikuu nlitokea kumpenda cna msichana mmoja ila ckuwah kumwambia,cku moja rafiki yake aliomba kuja room kwangu nkakubal,na alikuja na huyo msichana nnayempenda.Walipofika nliwanunulia vnywaji na mazungumzo yaliendelea,yule msichana nnayempenda alitoka nje na kutuacha mm na rafiki yake,hamuwezi amin wana jf ilikuwa ni kama bumbuwaz lmenipata na ckuelewa nlichokua nafanya kwan nlijikuta nmemtongoza mtu ambaye hata cku moja ckuwah dhan ntakuwa nae na yule msichana ninae mpenda aliporudi alikuta rafiki yake anataka kkubal kuwa wangu hvyo nkamwambia anijibu cku nyingine.Baada ya hap nlijiuliza cna nn kmetokea kwangu,ckuwa na cha kufanya zaidi ya kuanzisha mahusiano na tu nsiyempenda na kama unavyojua wasichana waafrica wanapenda mara moja hvyo amekuwa akinipenda cna.Nilipozungumza na msichana nnayempenda alinambia kuwa hata yy ananipenda ila pia anaogopa kumuumiza rafiki yake,SS wandugu nmechanganyikiwa kumwacha huyu nliyenae ili nipate furaha yangu ya kwel cwezi na nmeshindwa nifanye nn?ushauri plz