Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Nina mipango mizito na huyo ng'ombe....wamuache tuu
hahaha kwani huyo ng'ombe anakuhusu tena mpaka mkubaliane
Eeeee.....kwa kweli....pombe mbaya
ushaolewa ya huku tuachie sisi
Msibishane, ngoja tutazungumza home! Kwa mila zetu, ni kweli, Mwallu tulishakutoa ktk mali za home, lkn si mbaya, tutakushirikisha. Na ndiyo maana nimeheshimu kauli yako ya kutokuwa tayari.
Jumamosi namuijia...mahari yangu ile..
Eee kaka...naomba tu tuanze mfumo mpya wa ushirikishwaji kwa kila mmoja...kwa maslahi ya familia
Nikitaka kukubali lkn ngoja kwanza, hiyo comment ya kwanza ni yako? Na kama ni yako, huoni utaleta ubishi ktk familia? Umemusikia dogo miss neddy hapo nyuma?
Umependa mistari gani hapo?
Why not pesa tuuu.He he he Kim kardishan kuishi tegeta sidhani
Hii kali