Jaman walimwengu wana maneno
Nlibofya vibaya maneno yakaja bila picha
Upuuzi. Ndo mana wangu foreign tu.nyie wakibongo tegemezi sana
Fikra zenu tegemezi,hamna changamoto mwisho .
Ma wanaume walioelezwa hapo bado ni primitive sana.
Anyways siku hizi kila mtu anatafuta kivyake.
Jaman walimwengu wana maneno
Dah mkuu hiyo picha yako mie huwa na ashumu ndo wewe mwenyewe hiyo ukiiweka ukutani hadi kibaka anaogopa kuiba!Du ngoja niendelee kukata mkaa huku minjingu.