Jana baada ya mkutano wa kumbukumbu ya mashujaa pale NMC alilazwa hospitali,Taarifa kutoka kwa mtu aliyekaribu naye zinasema aliruhusiwakutoka hospitali jana hiyohiyo usiku.hivi sasa anaendelea vizuri.
mimi bwana nina damu ya kunguni,thread zangu zikifanana kidogo tu hata kwa silabu moja tu,huchanganywa na hiyo iliyowahi,lakini hii ya copy &paste mmmmmmmmmmmmmmmmmh