NMB yapata faida ya 153.7B (After Tax profit)

urio f

JF-Expert Member
Mar 31, 2017
302
271
Benki ya NMB imepata faida ya 153.7b(baada ya kodi) kwa mwaka ulioishia Desemba 2016.Hili ni ongezeko la 2.4% ukilinganisha na mwaka 2015.Kwa maana hiyo hali ya mabenki nchini si mbaya kama ilivyokuwa inaelezwa.CRDB nayo imetangaza kuwa imepata faida.Source:Daily News 18/4/2017.
 
Wewe umeangalia factor moja. Ila watu wa Finance watakuuliza habari ya ROI na ROCE. I.e Return on Investment na return on capital emplyoyet. Pia watakuuliza kuhusu r, au internal rate of return. Kwa benk yenye deposit ya zaidi ya trilioni tatu na ushehe, walitakiwa wapate zaidi ya hapo kama hali ingekuwa njema.
 
L

Lakini si umeona faida imeongezeka kwa 2.4% kulinganisha na mwaka jana?.Kwa hiyo hata kwa vigezo vya ROI na ROCE lazima kuna ongezeko.
 
Faida si kigezo cha uimara wa firm. Uwiano wa Asset na liabilities zao ndiyo msema kweli. Customer wameongezeka? Mtaji umekuwa kwa kiasi gani? nk. SIO Faida, faida ni ishara ya utendaji wao kwa kipindi cha moezi 12 tu. Kesho watafika?. Unaweza kuambiwa faida ni Billion hizo, halafu mkaletewa kiswahili cha crdb kwamba oooh tunapunguza risk ya madeni sugu na nk.
Niwapongeze tu kwa kuonesha mafanikio hayo.
 
Benki ya NMB imepata faida ya 153.7b(baada ya kodi) kwa mwaka ulioishia Desemba 2016.Hili ni ongezeko la 2.4% ukilinganisha na mwaka 2015.Kwa maana hiyo hali ya mabenki nchini si mbaya kama ilivyokuwa inaelezwa.CRDB nayo imetangaza kuwa imepata faida.Source:Daily News 18/4/2017.
So far so good. Pamoja na changamoto nyingi mnazopitia at least kuna something you can show of kuwa mmepata FAIDA.
Hii ni dalili njema kuwa uchumi wetu unaendelea kuinuka hatua kwa hatua.
Hongereni NMB
 
.
Benki ya NMB imepata faida ya 153.7b(baada ya kodi) kwa mwaka ulioishia Desemba 2016.Hili ni ongezeko la 2.4% ukilinganisha na mwaka 2015.Kwa maana hiyo hali ya mabenki nchini si mbaya kama ilivyokuwa inaelezwa.CRDB nayo imetangaza kuwa imepata faida.Source:Daily News 18/4/2017.
.
 
Nategemea shareholders wao pia watanaweza Kufaidika na Dividend ya Tshs.180/share
 
..hii benk ndiyo inatumika na serikali kwa transactions zake wakati benki nyingi ziko hoi....hata crdb wako hoi kabisa maana boss wao mchaga ..na hata share holders wengi wachaga...hata hisa za crdb zimeshuka thamani kabisa kabisa(@185 shs currently)...anashikishwa number kimei....wakati share za nmb ziko juu...na wanaandikisha faida...

...hii tofauti kubwa ya kimapato kwa benki za biashara haikuwa hivyo huko nyuma....nachoweza kusema ni siasa tu zimetufikisha hapa...

...sitoshangaa kuna shareholders wakubwa toka serikalini kwenye hii benki ya nmb...
 
CRDB wametangaza nao kupata faida.
 
L

Lakini si umeona faida imeongezeka kwa 2.4% kulinganisha na mwaka jana?.Kwa hiyo hata kwa vigezo vya ROI na ROCE lazima kuna ongezeko.
Tuletee pia na growth rate ya faida kwa miaka mingine. Sekta ya utalii imeanguka. Siyo kwamba hakuna ongezeko la mapato bali ukuaji wa ongezeko la mapato umepungua ukilinganisha na miaka ya huko nyuma.

Tunataka kujua ukuaji wa ongezeko ukilinganisha na ukuaji ongezeko kwa miaka iliyopita.
 
CRDB wametangaza nao kupata faida.
..si kweli...wanapika....mwaka jana walipata loss ya 2+ bil tshs...siamini leo mwaka mmoja tu wana faida....Ukitaka kujua crdb wamefulia nenda kwenye soko la hisa uone hisa zao....na pia pita ulizia masharti ya ya mikopo...na riba....utachoka...
 
Back
Top Bottom