Mkuu haya malipo ni miezi 60 au 30??. Maana kwa miezi 60 ni sawa na sh 14700000 wakati ulikopa 7 mil. Hapo riba ni zaidi ya 100%. Na kama ni miezi 30 ni sawa na 7350000.wanaharamu wale yaani mimi najiulizaga serikali kwa nini inaacha taasisi za fedha zinafanya zitakavyo, au government Ina agenda ya siri?
niliona posta bank wakanambia15% kwa mwaka nilikuta 15.1% kwa mwezi naumia sina PA kukimbilia.
pigs hesabu. loan 7mil wanaotaka 245,000/- miezi 60
Hiyo fomu ninayo mkuu.. Ila makato ni tofauti na kilichopo kwenye fomuMkuu labda hiyo sio benki,mie mamito amebeba mpunga siku za karibuni. Nmb wanakupa fomu inayoonyesha kila kitu. Kiasi cha mkopo,makato kwa mwezi,muda,gharama wanazokata na kiasi unachopata. Tena kabla hujasaini. sasa hiyo yako ilikuwaje mkuu.
Kama kichwa kinavyojieleza.. Ni kuwa mwezi wa Julai nilichukua mkopo NMB. Katika mkataba ni kuwa nitakatwa laki lakini baada ya makato kuanza nikagundua wanakata zaidi ya laki tatu, nilifika fasta kwenye ofisi zao za mikopo na wao walipoangalia kwenye compyuta zao wakagundua kama kuna kitu kama hicho. Hivyo wakaniambia nilete salary slip ili iambatanishwe na fomu watakayonipa.
Tatizo ni kuwa kwa sisi watumishi wa umma salary slip hazijatoka toka mwezi wa Juni, na nilipoenda kwenye ofisi za mishahara wakasema hawawezi kunipa document yoyote ya mshahara mpaka salary slip zitoke na benk wao wanasema hawawezi kunisaidia chochote mpaka nilete salary slip , hivi ninavyoandika ni kuwa jamaa wanaendelea kunikata hela kubwa tofauti na mkataba nilionao..... Kwa wale wenye uzoefu naomba mnishauri nifanye nini kutatua hilo tatizo?
Pole sanawanaharamu wale yaani mimi najiulizaga serikali kwa nini inaacha taasisi za fedha zinafanya zitakavyo, au government Ina agenda ya siri?
niliona posta bank wakanambia15% kwa mwaka nilikuta 15.1% kwa mwezi naumia sina PA kukimbilia.
pigs hesabu. loan 7mil wanaotaka 245,000/- miezi 60
Tafuta mwanasheria, waandikie barua kuhusu malalamiko yako maana ni kinyume na mkataba. Wanaogopa kesi sanaKama kichwa kinavyojieleza.. Ni kuwa mwezi wa Julai nilichukua mkopo NMB. Katika mkataba ni kuwa nitakatwa laki lakini baada ya makato kuanza nikagundua wanakata zaidi ya laki tatu, nilifika fasta kwenye ofisi zao za mikopo na wao walipoangalia kwenye compyuta zao wakagundua kama kuna kitu kama hicho. Hivyo wakaniambia nilete salary slip ili iambatanishwe na fomu watakayonipa.
Tatizo ni kuwa kwa sisi watumishi wa umma salary slip hazijatoka toka mwezi wa Juni, na nilipoenda kwenye ofisi za mishahara wakasema hawawezi kunipa document yoyote ya mshahara mpaka salary slip zitoke na benk wao wanasema hawawezi kunisaidia chochote mpaka nilete salary slip , hivi ninavyoandika ni kuwa jamaa wanaendelea kunikata hela kubwa tofauti na mkataba nilionao..... Kwa wale wenye uzoefu naomba mnishauri nifanye nini kutatua hilo tatizo?
Kama hili jambo linakusumbua sana fanya hivyo,hazina ukifika ni dakika 5 tu wanakupa salary slip zako,ikiwezekana siku hiyo hiyo utaanza safari ya kurudi huko ulipo.Nipo mbali na dsm
Duuuuh!! Wanakukata 245,000 kila mwezi kwa miez 60??!!wanaharamu wale yaani mimi najiulizaga serikali kwa nini inaacha taasisi za fedha zinafanya zitakavyo, au government Ina agenda ya siri?
niliona posta bank wakanambia15% kwa mwaka nilikuta 15.1% kwa mwezi naumia sina PA kukimbilia.
pigs hesabu. loan 7mil wanaotaka 245,000/- miezi 60
sasa hiyo itakuwa ni makosa ya mtu anayetakiwa akuwekee makato kadiri ya benki ilivyokupa. hebu tuwekee hapa hizo tofauti tuone. huo mkataba na makato halisiHiyo fomu ninayo mkuu.. Ila makato ni tofauti na kilichopo kwenye fomu