Tuambiane kwanza NYWILA ya akaunti waliipataje hao wezi?kisha utuambie kulikuwa na ugumu gan wa huyo kijana wako kushindwa kufika kwenye tawi alilokuwa karibu nalo
Itakuwa labda aliziandika kwenye kikaratasi akakunja na kadi,si unajua wazee ambao umri umeenda niwasahaulifu..
Swali la msingi msingi
Unajua ni vema ukatumia akili ingalau kidogo ili kujibu, taarifa za awali ni muhimu kama uhalifu unatokea, mtu aliyetumwa kutoa taarifa alikuwa na vitambulisho, alikuwa namba za mmiliki wa kadi kikubwa ni kujiridhisha, kwa hiyo kutoa taarifa za kuzuia uhalifu usifanyike dhambi? ndiyo maana afisa wa kwanza alikubali baada ya kujua uharaka na umumu.Ungefuata taratibu zao. Benki zote anayetakiwa kutoa taarifa ni mhusika mwenyewe ndio wanafunga
Nywila ilikuwa kwenye simu.Tuambiane kwanza NYWILA ya akaunti waliipataje hao wezi?kisha utuambie kulikuwa na ugumu gan wa huyo kijana wako kushindwa kufika kwenye tawi alilokuwa karibu nalo
Nakuambia hivi kwa taratibu za benki hilo haliwezekani, huyo kwa kwanza alifanya mistake tu kukubaliUnajua ni vema ukatumia akili ingalau kidogo ili kujibu, taarifa za awali ni muhimu kama uhalifu unatokea, mtu aliyetumwa kutoa taarifa alikuwa na vitambulisho, alikuwa namba za mmiliki wa kadi kikubwa ni kujiridhisha, kwa hiyo kutoa taarifa za kuzuia uhalifu usifanyike dhambi? ndiyo maana afisa wa kwanza alikubali baada ya kujua uharaka na umumu.
Nywila ilikuwa kwenye simu.