NMB Tanzania
Official Account
- Sep 13, 2014
- 94
- 232
Kwa kuanzia, umri chini ya miaka 60.Naomba kujua masharti ya kupata mkopo wa Nyumba.
Mkopo wa aina gani? Kumalizia ujenzi? Kununua nyumba? Au wa hisa za nyumba?Naomba kujua masharti ya kupata mkopo wa Nyumba.
Hello MunchamujaNaomba kujua masharti ya kupata mkopo wa Nyumba.
Samahani kuna wengine hawataelewa kwa kingereza! Labda ungeweka na tafasiri kwa kiswahili ili iwe rahisi kwa kila mmoja kuelewa.Hello Munchamuja
Haya ni baadhi ya masharti.
Karibu sana.
- Copy of your 3 current pay slip/ proof of income –
- Proof of identification – ID of Borrowers – in case of Individual
- Certified copies of 3 months personal bank statements (if new client)
- A letter of reference from your employer that the will channel of salary/ income
- Employment contract letter and application has any pending loan
- Certified copy of title Deed (to facilitate property valuation)
Hello,Mkopo wa aina gani? Kumalizia ujenzi? Kununua nyumba? Au wa hisa za nyumba?
NMB Tanzania, mnapoamua kuhudumia wateja wenu mtandaoni msiwe mnakimbia maswali. Pia tumieni lugha rafiki, sio kukopi na kupaste majibu ya kikristo kwenye pc zenu. Pia muwe active kidogo. Uvumilivu ni msingi mkubwa maana uelewa wetu ni tofauti.
Niulize swali, huo mkopo hata mteja wa huku Masulupwete na nikihitaji kujenge huku huku naweza kuomba?
Riba ni kiasi gani na mkopo unakuwa wa kipindi gani mpk nikamilishe kulipa?
Swali la 1:Nyumba zitakuwa kama hiyo kwenye picha na kiwanja kitakuwa flat hivyo au hiyo ni ya kutafutia wateja tu.?
Nilimuuliza huyo member hapo juu anahitaji mkopo wa aina gani? Nashukuru mmeliweka sawa hili.. Equity release/Refinancing/mkopo wa hisa za nyumba-nadhani ndio term stahiki kuliko kutumia neno "kuchukulia mkopo".Hello,
Tuna mikopo ya aina tatu, kununua nyumba, kumalizia, na kuchukulia mkopo ( Nyumba unaiweka rehani )
Karibu sana
Nilimuuliza huyo member hapo juu anahitaji mkopo wa aina gani? Nashukuru mmeliweka sawa hili.. Equity release/Refinancing/mkopo wa hisa za nyumba-nadhani ndio term stahiki kuliko kutumia neno "kuchukulia mkopo".
I am humbled!Asante sana Jumong kwa ushauri wako,
Mkopo unapatikana popote ulipo, kinachotakiwa ni wewe kuja kuonana na wataalamu wetu wa mikopo na watakushauri pia kukufanikishia. Pia kuna kikokotozi kupitia tovuti yetu LINK kitakacho kurahisishia kujua riba, marejesho na kiasi cha kuchukua. Bofya Loan Calculator - NMB Bank Plc. kukokotoa mkopo wako
Karibu sana
Hello Munchamuja
Haya ni baadhi ya masharti.
Karibu sana.
- Copy of your 3 current pay slip/ proof of income –
- Proof of identification – ID of Borrowers – in case of Individual
- Certified copies of 3 months personal bank statements (if new client)
- A letter of reference from your employer that the will channel of salary/ income
- Employment contract letter and application has any pending loan
- Certified copy of title Deed (to facilitate property valuation)
Mnatoa mikopo mpaka kiasi gani kwa ajili ya ujenzi wa nyumbaWakazi wa Idodomya! mko tayari?
Karibuni kwenye #NMBNyumbaDay tarehe 19 na 20 sept 2018 itakayofanyika katika viwanja vya tawi letu la Kambarage lililopo katika jengo jipya la PSPF ili ujifunze mengi zaidi kuhusiana na mikopo ya nyumba kutoka kwetu na washirika wetu.
Endapo una swali lolote kuhusu mikopo ya nyumba, karibu tukuhudumie kupitia ukurasa huu. #NMBMortgage #NMBKaribuYako
View attachment 870252
Kwenu NMBTz...
Kwa makadirio inachukua muda gani kama kila kitu kipo sawa kupata huo mkopo wa nyumba? - mpaka siku 14 kuwa tayari
Pili, loan to value ratio yenu ipoje? - 50%
Tatu, vipi gharama za awali za mkopo? - kama ni kununua nyumba itakua 10% ya gharama za nyumba, pia utalipia gharama za 'registered valuator for haouse valuation'
Ni hayo kwasasa - pia tupigie kupitia 0800 002 002 tukupe msaada zaidi.