agwambo halisi
Member
- Jan 22, 2014
- 42
- 2
naomba kujuzwa NMB wanakata makato ya asilimia ngapi ukichukua mkopo, mfano mkopo wa miaka 2,3,4,5 na mambo yapi yanazingatiwa naombeni msaada jamani
Wanamega kwenye "Basic Salary" ya sasa. Hivyo baada ya kuchukua mkopo take home yako itakuwa pungu kwa kwa asilimia wanayo kukata.
mkuu, vipi kama unataka kuchukua mkopo kupitia land/house lease, hii inakaaje?