nhobola ye2
Member
- Dec 22, 2013
- 24
- 1
Kama kuna huduma mbovu Tanzania za kibenki basi tawi la Ngudu NMB linaongoza.
Tawi hilo uchukua ATM card zilizokwisha muda wake inachukua masaa 4. Kwa jografia ya mji huu mtu akitoka Mpamwa au kikubiji analazimika kukaa siku nzima hivyo kuathiri uzalishaji kwa sekta nyingne.
Meneja hajui haya? maana muda wote amejifungia kwenye chumba makao makuu.
Tunaomba msaada jamani.