NMB mobile ina tatizo?

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Jan 31, 2009
7,333
3,896
yapata wiki ya tatu sasa sipati huduma ya nmb mobile kama vile kuangalia salio, kutuma pesa na ku recharge line zangu za simu. Majibu nnayoyapata ni pamoja na akaunti yako imezuiwa au is not available. Nimewasiliana na baadhi ya watu wa location tofauti nao wanaexperience hili tatizo kwa viwango tofauti. Nimewapigia customer care namba 15066 wakaniambia niwapigie 15166 ambako wanapokea watu wa airtel na sio nmb. Mbali na ughali wa kutumia huduma hizi za kuongea na hawa ma customer care, sio cooperative sana, kuna wengine walio experience tatizo hili humu?
 
Mimi sijapata tatizo hilo hata jana nimetumia huduma hii kununua muda wa maongeza, unatumia line gani? Kama ni airtel nakushauri kaangalie vizuri salio lako kuna kesi kadhaa nimezisikia za watumiaji wa airtel kuna shida
 
natumia airtel mkuu! Nawezaje kubadili line? Sasa imekuwa tatizo kabiashara kangu kanategemea service hii kulipa mishahara imesimama.
 
Back
Top Bottom