JOSE KASANO
Senior Member
- Apr 23, 2013
- 122
- 95
Benki ya NMB mnapaswa kuwa serious kama wenzenu wa CRDB hasa katika kutoa huduma ya salary advance kwa Wafanyakazi
- Mnadai kuwa walengwa(wafanyakazi) hawana vigezo vya kupewa huduma hiyo ilihali kiasi wanachoweza kuchukua kinaonekana wazi.
- Wateja walianza kuhamia kwa kasi CRFB kwaajili ya kufuata fursa hiyo.
- Ninyi(NMB) endeleeni kudai vigezo havijakamilika.
Nawasilisha kazi kwenu wahusika.