NMB job several position wameanza kutuma email

miss naire

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2016
Posts
237
Reaction score
228
jana nilipokea email kutoka Nmb kwa zile kazi walizo tangaza kwa zones,vip kwa wengine maana naona mchujo wameufanya kama hujapita wanakutumia email kuwa asante kwa kusubiri ila hatuta endelea na wewe
 
Hongera mkuu - fanya kweli upate kazi
 
Namimi nimetumiwa email ya kukataliwa,nmeomba hiyo ya direct staff nasubir majibu
 
ni tangazo lipo katika pdf ila nashindwa lipandisha humu...naweza mtumia mtu akaliweka hapa lakini hakuna tatizo
Ni vizuri ukaweka iyo link humu ili na wengine tuombe mkuu au wewe unaonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…