NMB iringa mjini Hawana hela?

NMB iringa mjini Hawana hela?

Joined
Oct 21, 2014
Posts
10
Reaction score
1
Ni wiki sasa NMB iringa mjini wanatusumbua wateja hawaweki hela ATM zote,mpk uingie ndani meneja haeleweki yaan usiombee uwe hauna hela cash alaf unategemea utoe hela hapa,utalia siku tatu no services wala jibu la maana
 
Na hapo ndo umefunga safari Dabaga ili uchukue hela unakuta hakuna na huna ht nauli ya kurudia nyumbani, sioni umhimu wa kufungua account NMB
 
Back
Top Bottom